Tuesday, June 7, 2016

FILAMU YA ANGELA ILIYOCHEZWA NA MWANADADA ROSE NDAUKA IPO MADUKANI SASA


Msanii wa filamu wa tanzania ROSE NDAKA amekuja na filamu yake mpya iliyojaa mikasa ya mapenzi ,usaliti na maisha yanatuzunguka binadamu katima maisha yetu ya kila siku sasa ipo madukani jipatie nakala yako halisi sasa ujionee mwenyewe usisubili kusimuliwa 

No comments:

Post a Comment